24 / 7 SPORTS CHANNEL-barmedas.tv

btv SPORTS CLUB ENZI ZILE.
Kikosi cha btv Sports Clubs enzi zile kilikuwa kimesheheni wachezaji wenye vipaji mbali mbali na kilikuwa kimejengwa pia na wachezaji wenye uzoefu mkubwa katika Tasinia hiyo ya mchezo hasa wa mpira wa mguu.

Mwaka huu kimepania tena kujipanga ili kiingie kwenye michezo ya kimkoa Kaptain wa timu hiyo Anzuruni Issa alipoulizwa alisema atahakikisha anasajili wachezaji wengine kuongeza nguvu ili timu iwe kali sana , alipoulizwa na mwandishi wa Habari wa kituo cha barmedas.tv kuwa Wachezaji hao wanatoka wapi alijibu" siwezi kuwataja kwa sasa kwa kuwa tungali tuko katika maandalizi makali ya kuzungumza na wachezaji hao mda ukifika nitaongea na vyombo vya habari maana nitakuwa na majibu sahihi" alimaliza.
Comments

Popular Posts