BUJORA-barmedas,.tv

Mwl Sokoro ndani ya Bujora akitafakhali   yanayojili  hapo, Bujora ni kituo cha Makumbusho ambacho kimekuwa kikihifadhi utamaduni wa Msukuma kwa kuwa na Ngoma zote za Kisukuma na pia kuhifadhi dawa ambazo alikuwa anatumia Msukuma katika kujitibu pia kujiganga.

Watemi wa Kisukima bado kituo hiki kinawakutanisha kila Mwaka kwa ajili ya kujadili maendeleo ya Msukuma pia kupanga ratiba ya Bulabo ambapo kila Mwaka Mwezi wa 6 hukutana pale Kisesa kwenye uwanja na kufanya maonyesho mbali mbali ya Ngoma na huchukua wiki nzima sherehe hizi zikifanyika pale katika uwanja wa Kisesa.

Nyumba za kienyeji zimejengwa hapo katika Makmbusho na kufanya kweli kuwa ni sehemu ya kupumuzika pia, kunanyumba zimejengwa kwa ajili ya wageni watakao hitaji kwenda kulala hapo pia chakula cha kienyeji kipo pale kwa Mtu atakae hitaji kula chakula cha Kisukuma. KARIBU BUJORA.
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

Comments

Popular Posts