JOHN MAGUFURI-barmedas.tv

Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi Mh John Pombe Magufuli
Akiingia kwenye uwanja tayari kuashilia kipyenga kimepigwa sasa kuanza Kampeni kwa jumla ya Miezi miwili  kumwaga sera na ilani za chama chake kuwashawishi wananchi na wanachama wake waweze kumpigia kura tarege 25 Au,gust 2015 na kuendelea chama hicho kutawala kwa miaka mingine 5 ama 10 inategemeana na jinsi atakavyo zichanga karata zake kwa kipindi hicho atakapewa ridhaa.Comments

Popular Posts