TANGAZO
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza-Kamishina msaidizi wa polisi Charles Mkumbo
na viongozi wenzake wakiwa kwenye sherehe za kufunga mafunzo ya Polisi Jamii yaliyotolewa na Jumuia ya Wafanya Biashara ndogo ndogo (Machinga).
Hili nikulifanya eneo la biashara liwe salaama salimini, mafunzo hayo walianza Watu 50 na kuhitimu 36.
Kamanda wa Polisi akikagua gwaride la wahitimu wa mafunzo mara baada ya kumaliza mafunzo hayo.

www.barmedas.tv

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

Post a Comment

Videos

Loading...
 
Top