SIKU YA MASHUJAA-barmedas.tv

Kumbu kumbu siku ya Mashujaa iliyofanyika Nchini kote, Mwaka huu 2015 Katika Mkoa wa Mwanza  sherehe hizi za Mashujaa kuwakumbuka ndg zetu Wazalendo waliopigania  Nchi hii  ya Tanzania  hakika  walipoteza maisha yao , zilifanyika katika Bustani  iliyopo kwenye mzunguko wa Barabara zinazoungana, Makongoro, Kenyatta, na Nyerere , sherehe fupi zilifanyika hapo na kuhudhuliwa na Watu wengi.

Viongozi mbali mbali walipata nafasi ya kuweka vifaa mbali mbali ishara ya kumbu kumbu kwa mashujaa hao , kama picha zinavyoonesha hapo chini.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Magesa Mulongo  nae alipata fursa ya kuwahutubia Wananchi waliofika kushuhudia Kumbukumbu hizo ,  Wanajeshi walionyesha umahili mkubwa walipofanya maonyesho yahusuyo maombolezo ikiwa ni pamoja na kupiga risasi juu ambapo milio  Bunduki iliwachangaya Watu waliokuwa wamehudhulia Kumbu kumbu hizo hapo.

Comments

Popular Posts