TCRA-barmedas,.tv

TCRA WAFANYA SEMINA NA WAADISHI WA HABARI:
Mkurugenzi Idara  ya utangazaji kutoka TCRA Ndugu Gunze alipoitisha Semina ya siku moja ya Waandishi na Watangazaji wa Redio  na Television jinsi ya matumizi kwa mitandao katika kipindi chote cha Uchaguzi ikiwemo Kampeni, kupiga kura  hadi kutangaza matokeo.

Akiongea na Waandishi wa habari wa vyombo vyote Kanda ya ziwa, aliwakumbusha na kuwa tahadhalisha  Mwandishi , Chombo anachokiandikia wanaweza kuingia kwenye Adhabu ya kutozwa faini ambayo ni kubwa ama kifungo na faini vikaenda kwa pamoja kutokana na kutoa taarifa isiyo sahihi na kupelekea uvunjifu wa Amani katika Kipindi chote hiki cha uchaguzi na  baada ya Uchaguzi kwa sheria hii imekwisha pitishwa na kusainiwa na Rais ikiwa  tayari imekuwa sheria hivyo taanza kutumika kuanzia Tarehe 01 /09/2015 ikiwa ni siku chache tu kuanza kwa Kampeni.

Bwana Gunze akiendesha somo hlo aliwaasa waandishi habari kubadiri kabisa mitazamo na kila waandikapo taarifa ziwe zimefanyiwa uhakiki wa kutosha na kufuata maadili ya uandishi wa Habari ili kueouka dhahama ya Wanahabari ambao hujiandikia taarifa zao pasipo kufanya utafiti " Mtafungwa na kulipa faini ya mapesa mengi ambayo sidhani kama kuna mwanahabari hii sheria ataiepuka isipokuwa nikufuata kanuni na taratibu zote za maadili ya kiuandishi.

Meneja wa Kanda TCRA


Comments