TCRA YAZURU KANDA YA ZIWA-barmedas.tv

Eng Lawi Odielo Meneja  wa TCRA Kanda ya ziwa,  akiwa na viongozi wa TCRA toka makao makuu Dar  wakiongozwa na  Mkurugenzi mkuu Dr Ally Simba , Zonal Co- ordinator Victor Nkya, Meneja Mkuu TCRA, Innocent Mungi, akifungua kikao maalumu kati yao na wadau wa Habari  katika  Hotel ya Gold Crest .Jijini Mwanza.

Katika kikao hicho Mkurugenzi Mkuu akiongea na wadau hao, amekuta changamoto nyingi lakini alizitaja changamoto kuu tatu  kwanza,   Ukwepaji  malipo na ukiukwaji wa masharti ya lesemi , na kUhalifu wa mitandaoni, kabla ya kuifafanua sheria mpya ya uandishi wa Habari kwenye Uchaguzi Mkuu 2015.Comments

Popular Posts