TCRC-barmedas.tv

Kwaya ya TCRC (Tanzania Childrens Rescue Centre) wakiimba  kwenye Ibada hiyo ya  1 Mchungaji Miccah  Ngussa aliambatana na Kwaya hiyo wakati walipokuja kuhudumu katika Kanisa hili la Makongoro AICT.

Kwaya hiyo inajumuisha vijana walikuwa wametengana na familia zao na kuishi maisha ya Mitaani ni kituo cha TCRC kilipoanzisha huduma ya kuwatunza pia kuwatoa Elimu huduma hii imeleta faraja kubwa na imesomesha sasa watoto hao kuna baadhoi wamefika chuo kikuu tangia kilipoanzishwa na Mkuu wa kituo hicho akiwa ni Mchungaji Miccah Ngussa.

Comments

Popular Posts