MWIMBIENI BWANA-barmedas.tvKwaya humwimbia Mungu kuanzia siku ya Jumamosi na Jumapili barmedas.tv hupiga nyimbo za Gospel Katika Channels ya HeaveN  pia,  Jumapili  nyimbo hizo ni madhehebu mbali mbali huweza kuzicheza nyimbo za Kwaya pia huzifanya kwaya hizo kuzitangaza zaidi kupitia Channel  ya HeaveN, siku ya Jumamosi  nyimbo za Kwaya kutoka SDA pia Mahubiri kutoka Madhehebu hayo ya ki Adventist hurushwa  Live .

Imekuwa ni baraka kubwa sana Channel hii ya HeaveN kwani Mahubiri pia kutoka katika Makanisa mbali mbali huweza kurushwa Live Ibada za Makanisa mbali mbali kila week, hivyo unakaribishwa kutazama Channel ya HeaveN.
Comments

Popular Posts