LETICIA NYERERE-barmedas.tv

Mwili wa Leticia Nyerere umewasili jana kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Butiama-Mkoa wa Mara

Picha inaonyesha Jeneza likiwa limebebwa na Askari wa Bunge, Leticia Nyerere alifariki huko Nchini Marekani alikokuwa amekwenda kutibiwa.

Mwilli wa Marehamu Leticia utapekekwa Jijijini Butiama Nyumbani kwa Hayati Mwl  Nyerere jwa ajili ya mazishi . BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE, AMEN.

Comments