ASKOFU KEZAKUBI-barmedas.tv

Baba Askofu Mkuu AICT Silas Kezakubi akipiga picha baada ya kikao chake na wageni waliofika kipindi cha Pasaka 2016.

Wageni hao walitoka Ufaransa, Arusha, Nairobi na Nakuru na Kwaya ya Wamasai kutoka Arusha, ugeni huo uliitembelea Kwaya ya AICT Makongoro Kwaya.

Wageni hao wamekwisha ondoka na kurudi makwao mara baada ya sikuu ya Pasaka kumalizika.

Comments