BURDANI-barmedas.tv

"Sisi tunatangulia na wengine, wanafuata"
Michezo na Burdani sisi barmedas.tv tunaienzi ndio maana hata Live ya Burdani tunazirusha Live ili kuwaelimisha watazamaji wetu walioko mbali na maeneo ya Burdani.

Tumekuwa Wadhamini wa IDFA na NDFA katika Michezo na tumefanya kazi kubwa katika eneo hili na tumefanya mapinduzi na maboresho ma kubwa.

Kuhusu Burdani tumejihusisha saana na Sekita hiyo ndio maana Villa kumekuwa ni kitovu cha Burdani baada ya kazi na barmedas.tv ndio  wamekuwa wadau wakubwa wa kuhakikidha kila Jumamosi watazamaji wetu wanapata Burdani Live.

Comments

Popular Posts