Mapishi Live on barmedas.tv HD



Mapishi ni Kipindi cha mambo ya Jikoni, maandalizi ya Vyakula Mbalimbali, Resipi na Usafi wa Jiko. Kipindi hii ni Live ndani ya barmedas.tv HD

Ni Kila Jumatatu, Jumanne na Alkhamis 
Saa 3 na Nusu Asubuhi

Kutazama Kipindi hii Live popote ulipo kwa Njia ya Smartphones au Laptops www.barmedas.tv

Comments