Mwimbieni Bwana Live barmedas.tv HD

Mwimbieni Bwana ni Kipindi cha Dini ya Kikristo ikuijiayo Kila Jumatatu hadi Alhamis na Jumamosi Kwanzia saa 8 Mchana mpaka 10 Jioni. Ni Kipindi Live na unapiga Simu kuomba wimbo au Kwaya za Kidini ukiwa Live. Usikose unaweza kutazama Kipindi hiki ukiwa na cable za barmedas.tv au Smartphones na Laptops www.barmedas.tv


Comments

Popular Posts