Mwimbieni Bwana Live ndani ya barmedas.tv HD

Mwimbieni Bwana Ni Kipindi Live Kwaya mbalimbali ambapo Mtazamaji anafursa ya kupiga Simu Live na kuomba Kwaya atakayo. 

Host wa Kipindi hii ni Dada Emmy Lemma
Ni kila Jumatatu - Alhamish na Jumamosi 
Saa 8 Mchana


Comments

Popular Posts