Ndingo Fleva Live barmedas.tv HD
Ndingo Fleva ni kipindi Live ya Entertainment haswa Bongo Fleva. Mtazamaji anauwezo wa kupiga Simu Live na kuomba wimbo wa wowote wa Bongo Fleva na kuipiga hewani. 
Unaweza kutazama kipindi hii kupitia smartphones au laptopa www.barmedas.tv

Comments

Popular Posts