Whatsapp Show Live ndani ya barmedas.tv HDWhatsapp Show ni Kipindi kinacho mpa Mtazamaji Fursa ya kujiricord video fupi na kutuma katika whatsapp Show Number na hiyo video itaruka Live kwenye kipindi hii ya Whatsapp Show. 

Ni kila Jumatatu hadi Ijumaa Saa 1 mpaka 3 na nusu Asubuhi
Jumatatu hadi Alhamis Saa 2 mpaka 3 Usiku

Comments

Popular Posts