Mwimbieni Bwana Ni Kipindi Live Kwaya mbalimbali ambapo Mtazamaji anafursa ya kupiga Simu Live na kuomba Kwaya atakayo.
Host wa Kipindi hii ni Lydia
Ni kila Jumatatu - Alhamish na Jumamosi
Saa 8 Mchana
Unaweza kutazama Kipindi hii Popote Ulipo kwanjia ya Smartphones au Laptops www.barmedas.tv
Comments
Post a Comment