Nakshi Nakshi za Pwani Live ndani ya barmedas.tv HD



Nakshi Nakshi za Pwani ni Kipindi cha Taarab. Kipindi hii ni Live na Mtazamaji anaweza kupiga Simu Live na kuomba Taarab atakayo na kupigiwa hewani. 

Host wa kipindi hii ni Aisha 
Ni Kila Jumatatu, Jumatano na Ijumaa
Saa 4 asubuhi

Unaweza kutazama Kipindi hii Live kupitia simu yako smartphones au laptops www.barmedas.tv

Comments