Polisi Jamii. Wizi Kwa Njia ya Mtandao Live ndani ya barmedas.tv HD


Polisi na Kamii ni Kipindi cha Jamii na Jeshi la Polisi hutoa taarifa au kuelimisha Jamii Live ndani ya barmedas.tv HD
Polisi Jamii ni Kila Ijumaa Saa 1 hadi 2 jioni. Edmund Ruter ndio Host wa Kipindi hiki na Mada Kuu leo ni WIZI KWA NJIA YA MTANDAO. Akiwepo na Ass. Insp. Abdallah Nizar

Kutama kipindi hii kokote ulipo Live kwa njia ya smartphones au Laptops www.barmedas.tv

Comments

Popular Posts