Hashikome Live ndani ya barmedas.tv HD


Hashikome ni Kipindi cha michezo mbalimbali za Utamaduni wa Kiafrica kama Wasukuma, Wahaya, Wakurya, Wajita, Wachaga na wengineo. 

Ni kila Jumatatu - Ijumaa 
Saa 6 mchana

Unaweza kutazama Kipindi hii Live popote ulipo kupitia Smartphones au Laptops www.barmedas.tv

Comments

Popular Posts