Kioo Cha Uislaam Live ndani ya barmedas.tv HD


Kioo Cha Uislaam ni Kipindi Live ndani ya studio za barmedas.tv HD ambacho kinacho elezea Mada tofauti tofauti katika Sheria za Kislaam. Mtazamaji anauwezo wa kupiga Simu Live na kuuliza Swali kutoka kwenye Mada ilio kuwepo Siku hiyo. 

Host wa Kipindi hiki ni Sheikh: Abdulrahman Hussein
Mada ya Leo - Mambo Manne ya Wajibu kwa Muislam
Ni kila Ijumaa Saa 9 Mchana na Marudio ni Ijumaa Saa 4 Usiku. 

Mtazamaji anaweza kutazama Kipindi hii Live Kupitia Smartphones au Laptops popote alipo www.barmedas.tv

Comments

Popular Posts