Mapishi Kipindi ndani ya barmedas.tv HD


Mapishi ni Kipindi kikuijiapo ndani ya barmedas.tv HD kila Jumatano na Alkhamis saa 3 na Nusu Asubuhi. Ni Kipindi cha mafunzo mbalimbali au aina na jinsi ya kupika vyakula vya Kiswahili mpaka Ulimwenguni. 

Kutazama Kipindi hiki Live popote ulipo kupitia Smartphones au Laptops www.barmedas.tv

Comments