Sikika Live ndani ya barmedas.tv HD


Sikika Program ni Kipindi Live Kila Jumatatu saa 12 Jioni. Ni maswala au kuimairisha Jiji la Mwanza kwa Njia ya Majadiliano sehemu za Mgahawa au katika Vyama vilicyo sajiliwa Mfano wa Ngozo. Kipindi hiki ni Live na Mtazamaji anafursa ya kuchangia Mada Kuu au kutoa Hoja. 

Kutazama Kipindi hii Live popote ulipo Duniani Kwa njia ya Smartphones au Laptops www.barmedas.tv

Comments

Popular Posts