Siri za Kristo Live ndani ya barmedas.tv HD


Siri za Kristo ni Kipindi cha Dini ambayo hukuletea Maandishi na Mafunzo za Kristo. Kipindi hii ni Live ndani ya barmedas.tv HD

Host wa Kipindi hii ni Pastor. Jontwa

Unaweza Kutazama Kipindi hii Live popote Ulipo kupitia Smartphones au Laptops www.barmedas.tv

Comments

Popular Posts