TANGAZO

Whatsapp Show ni Live ndani ya barmedas.tv HD. Mtazamaji anafursa ya kujirecordi na kutuma video yake kwa njia ya Whatsapp na hiyo video itachezwa Live katika Kipindi hiyo. Video inatakiwa iwe katika mwanga mzuri na sauti ikiskika vizuri vilevile kutoa salamu au kuomba wimbo wowote autakayo. Namba itumikayo wakati wa show hii ni 0684 111 555

Ni kila Jumatatu - Jumamosi
Kwanzia Saa moja na nusu Asubuhi na Jumatatu hadi Alkhamis kwanzia Saa Mbili Usiku

Unaweza kutazama Kipindi hii Live kupitia Smartphones au Laptops popote ulipo 
www.barmedas.tv

www.barmedas.tv

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

Post a Comment

Videos

Loading...
 
Top