Ndingo Fleva Live ndani ya barmedas.tv HD


Ndingo Fleva ni Kipindi cha Entertainment wimbo tofauto tofauti za Kibongo Fleva na ni Live. Mtazamaji anapata Fursa ya Kupiga Simu Live na kuomba Wimbo wowote Live. 

Host wa Kipindi hii ni Baby Shayla na Jeniffer 
Ni kila Jumatatu hadi Jumamosi 
Saa 10 jioni

Unaweza kutama Kipindi hii Live kupitia Smartphones au Laptops www.barmedas.tv

Comments