VIJANA WA AFRICA LIVE ON-barmedas.tv,from 06:00 up to 07:00 pm
Kipindi cha vijana wa Africa kitawaijia hapa hapa barmedas.tv kila siku ya jumatatu kuanzia saa 12:00 hadi saa 01:00 jioni. Kipindi kitakachokuwa kinamugusa zaidi kijana mbali ya kuwa na kipindi cha baraza la watoto,ambapo kipindi hicho kinawagusa watoto wa umri chini ya miaka 18. na hawa vijana wametokana katika baraza la watoto baada ya kuvuka umri wa kuitwa mtoto
Sasa barmedas wakatengeneza kipindi kinachojulikana Kijana wa Africa.


Comments
Post a Comment