MAKONGORO KWAYA-barnedas.tv
UMISSIONARI WA NDANI.
AICT Makongoro Kwaya ya fanya umissionari kwa kutoa Speaker 2 nakuwapa Wanakwaya wa Kabuholo ili Kwaya hiyo apate kumwimbia Mungu kwa Moyo na kweli.
Mashuhuda barmedas.tv walikiona kitendo hicho kweli ni cha Kimiisionari wakati, akishukuru Mzee wa Kanisa Mwizalubi alisema hii inaonyesha wazi Kwaya hii ilivyokomaa Kiimani kwani tendo hili yeye hajawahi kulishuhudia, aliendelea kusema kuwa yeye huziona Kwaya zinarundo za vyombo wakati Kwaya zingine zinakuwa na vyombo duni kama si kuimba kwa kutumia sauti peke yao Accapella.
Utakuta Mikutano mikubwa badala ya kuzijenga Kwaya huziua maana huwa zinatamani hizo Kwaya kubwa zenye vyombo na hapo utakuta badala ya kujenga Kwaya ndogo ndogo hukata tamaa , hivyo aliziasa Kwaya zingine ziige mfano wa Kwaya ya Makongoro.
Kwaya ya Kabuholo, imepata Speaker 2 za aina za PeaVeY @ Watts 300.


Comments
Post a Comment