MAKUMBUSHO BUJORA-barmedas.tv
BAGALU NA BAGIKA.
Kipindi hiki cha mavuno, ngoma aina mbali mbali huchezwa na watu hujumuika kwa pamoja kucheza ama kuangalia ili muradi hufanya watu wskati wote huwa.na furaha.
BAGALU NA BAGIKA ndizo ngoma kuu kwa kabila la Kisukuna na ni mahasimu kipindi chote, ngoma hizi huvuta watazamaji na kuwagawa makundi mawili wako wanaoshabikia BAGALU NA wapo wanaoshabikia BAGIKA.
Kipindi hiki wanawake wasichana huenda kwenye ngoma hizi, na hubebwa na wanaume juujuu nakupelekwa kwao na huyomwanaume
na hufungiwa ndani , hufika wakati wazazi na ndg huanza kumtafuta Binti yao na kijana akiona hivyo, hujitambulisha kuwa anae Mtoto wao , kifuatacho taratibu za ndoa huambatana na utoaji wa Mahari huandaliwa, kitendo hiki huitwa "Chagulaga".


Comments
Post a Comment