MKURUGENZI JIJI LA MWANZA-barmedas.tv
Halmashauri la Jiji la Mwanza ,lawataka Wamachinga kufanya biashara zao
Maeneo yaliyotengwa rasmi kwa kazi hiyo, kwani zoezi la kuwaondoa litaendelea na si nguvu za soda .
Hayo yamesema na Mkurugenzi wa Jiji la mwanza Bwana Hassain Hida alipokutana na Waheshimiwa Madiwani pia na wadau katika Ukumbi wa Mikutano wa Jiji-Mwanza.


Comments
Post a Comment