FIESTA 2014-barmedas.tv
Mambo yalivyokuwa katika Fiesta, 2014 iliyofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9 /08/2014
barmedas.tv walikuwepo kuchukua matukio yote. kwa upande mwingine Fiesta ilikuwa imehudhuliwa na watu wengi haswa baada ya kuwa na wanamziki walionamajina na wanaofanya vizuri katika Tasinia hiyo ya Muziki.
Baadhi ya picha zikionyesha hali halisi ya siku ya usiku wa Fiesta, Katika uwanja maarufu wa CCM Kirumba.


Comments
Post a Comment