IBADA ZETU - barmedas.tv
IBADA ZETU:
Kipindi cha ibada zetu, hurushwa na kituo cha barmedas.tv kila siku ya Jumapili ambapo Makanisa hupata fursa ya kurusha matangazo yake kupitia channel ya HeaveN.
Wiki jana kituo cha barmedas.tv kilikuwa katika Kanisa la St Nicholaus - Angilican Church Kanisa kuu lililoko jirani na kituo cha Kamanga.


Comments
Post a Comment