Kati kati ya Jiji la Mwanza, Eneo linaloitwa kwenye Samaki, sehemu inayovutia na kuwafanya wakazi wa Mwanza kuupenda Mji na kujivunia Jiji lao, Jiji lenye vivutio vingi na niadimu katika Mikoa mingine na pengine ulimwenguni kote.
WAGENI KARIBUNI MWANZA.
Comments
Post a Comment