KIPINDI MAALUMU- barmedas.tv


Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Polisi Mkoa wa Mwanza ambaye sasa ndiye Mkuu wa Polisi Tanzania ( IGP)
Kamanda  Ernest Mangu , akiwa na Mwl Sokoro , alipokitembelea kituo cha barmedas.tv katika kipindi Maalumu Mwaka jana 2013.
MADA:  Usalama Kipindi cha  Sikukuu.
MUDA: Kipindi kilianza saa 3:00 - saa 4:00 Usiku.
WACHANGIAJI: Simu 20 zilipigwa kutoka kwa watazamaji kuchangia mada.
HALI YA KIPINDI: Kipindi kilipendeza sana na kilikuwa cha kuchangamsha.

Comments

Popular Posts