LIGI YA MABINGWA-bameads.tv
LIGI YA MABINGWA WA WILAYA.
Ligi ya mabingwa wa Wilaya inatarajiwa kuanza August 11- 30 Mwaka huu, uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.
Jumla ya timu 14 zinatarajiwa kushiriki kutoka katika Wilaya 7 huku Wilaya ya Kwimba ikishindwa kuthibitisha kushiriki kwa kushindwa kutuma wawakilishi.
Akizungumza na waandishi wa Habari Katibu wa Chama cha soka Mkoani hapa ( MZFA) Naseeb Mabrouk alisema kuwa, kama Kwimba itashindwa kutuma wawakilishi hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Pia aliongeza kusema kuwa mechi za ufunguzi zitaikutanisha Timu za Ilemela na Express majira ya saa 8:00 Mchana na Mechi ya pili Misungwi dhidi ya Squard Majira ya saa 10:00 Jioni.
Timu zitakazoshiriki kwa Kundi A ni Ilemela, Sengerema, Ukerewe, Nyamanoro, Misungwi na Magu, huku kundi B ni Nyamagana, Misungwi, Magu, Ilemela ,Sengerema na Ukerewe.

Comments
Post a Comment