MAONYESHO YA ASILI- barmeadas.tv
ONYESHO LA USIKU:
Onyesho lililofanyika kwenye Hotel ya Jb Belmonte ilifana sana katika usiku wa tarehe 1/08/2014.
Vikundi mbali mbali vya Ngoma vilikuweko kwa ajili ya kuufanya usiku uwe mzuri, Saida Kaloli na vikundi
mbali mbali vilikuwepo kuwaburudisha watu waliofurika kuona Tamasha hilo.
barmedas.tv kama ilivyo ada walikuwepo kuchukua matukio yote siku hiyo na kuwahabarisha watazamaji wake.






Comments
Post a Comment