Zawadi itakayo shindaniwa na kutwaliwa kwa walimbwende hapo siku ya Jumamosi tarehe 30/ 08/ 2014 katika uwanja wa CCM Kirumba.
Kesho tarehe 29/ 08/ 2014 watatembelea Ofisi za barmedas zilizoko Mtaa wa Bantu- Jijini Mwanza.
Pia barmedas.tv ni kati ya wadhamini wamashindano haya.
Comments
Post a Comment