NANE NANE 2014-barmedas.tv

Maonyesho ya nane nane yamefungwa leo rasmi na kupelekea kila aliyefika pale kukubali na kuridhika kuwa maonyesho yalikuwa yakutia moyo bidhaa mbali mbali kupatikana katika maonyesho hayo.

Kama alivyosema Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wakati akimukaribisha mgeni aliyeyafungua maonyesho hayo ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita.

Mh Evarest Ndikilo alisema kuwa Mwaka kesho  2015 , maonyesho haya yatafana zaidi baada ya kuboreshwa na kujengwa mabanda ya kudumu.

Comments

Popular Posts