BONANZA-barmedas.tv






 Rais wa Chama Cha Walimu Mwalimu Gratian  Mukoba akilifunga rasmi Bonanza lilofanyika kwa siku 2
katika  viwanja vya michezo Mabatini line Police.

Mashindano hayo yaliwashirikisha walimu wote wa Wilaya ya Ilemela kwa kucheza michezo mbali mbali
na kuleta uhusiano na Burdani kubwa.

Michezo hiyo kwa washindi walipata zawadi mbali mbali zikiwemo Mbuzi , Majogoo na zawadi zingine nyingi, kwa ujumla michezo hiyo ilileta furaha , umoja, amani na ushirikiano kwa walimu mbali na kujuana
katika Bonanza hili., Picha juu Mwl Gratian Mukoba akihutubia walimu katika kulifunga Bonanza hilo na picha za chini ni walimu na zawadi baadhi zilizotolewa kwa washindi. barmedas.tv walikuwepo kuratibu Bonanza hilo.


Comments

Popular Posts