IBADA ZETU-barmedas.tv
Siku ya Jumapili ilikuwa ni siku ya kumwabdu Mungu ,pande zote za Dunia , kikla mtu na Imani yake alikwenda kumsujudia Mungu wake hivyo basi , Makanisa yalikuwa yamefurika Watu kwa ajili ya kumuomba Mungu wao.
barmedas.tv hawakuwa nyuma kwenda kuungana na Waumini kwa kuchukua matukio na baadae kuwahabarisha watazamaji jinsi gani Ibada zilivyofanyika hasa katika Jiji la Mwanza.
Picha zinaonyesha Ibada katika madhehebu mbali mbali zilivyokuwa haswa , Kwaya kuimba katika Ibada hizo na pia mpiga picha wa barmedas.tv Kassim Mashaka, akionekana akichukua picha za Ibada .

.jpg)

Comments
Post a Comment