JUBLEE 25-barmedas.tv
Tarehe 31. 09. 2014 Dioces Ya Mashariki ya Victoria KKKT ilifanya Jubkee ya Miaka 25 pia sherehe hiyo ilienda Sambamba Ask Andrew Gule Kuendelea kushika nafasi yake ya Uaskofu kwa mda wa Miaka 10.
Sherehe ilihudhuliwa pia na viongozi mbali mbali wa kiroho, sherehe zilifanyika katika Kanisa la KKKT Imani Kanisa kuu ( Cathedral).


Comments
Post a Comment