Posta pia zimewekwa Screen za MTG kwa ajili ya kuwahabarisha wateja wanaokuja kupata huduma ,hivyo huwa na fursa ya kuziangalia kwa makini Screen za barmedas kwa kupata habari moto moto na mpya kabisa za kibiashara zilizopo wakati huo katika Jiji la Mwanza.
Comments
Post a Comment