MTG SCREENS- barmedas.tv

Hotel ya Malaika iliyoko maeneo ya Ilemela , imekuwa Hotel kivutio sana kwa ubora wa huduma pia mazingira ya Hotel hiyo yako safi kwa wageni wanao  fika hapo kwa kupata huduma ya kupumuzika na wengine huenda kutembelea kujionea masndhali safi ya eneo hilo lililo na ma Bwawa ya kuogelea.
Lakini huwezi kuwakosa barmedas, wakiwa wameweka screen zao zinazoonyesha taarifa za  jiji la Mwanza haswa zinazo husiana na Biashara kwa ujumla, wageni huziangalia screen hizi mda wote kwani zinatoa ratiba ya kutua na kuondoka kwa ndege , taarifa ya kubadirisha fedha, taarifa ya bei ya mafuta  ya Petrol ,Dizel, Mafuta ya taa, ratiba ya Mabasi ,m Neli , nk endelea kuangalia barmedas kwani " Sisi tunatangulia na wengine wanafuata"


Comments

Popular Posts