OFFA KABAMBE-barmedas.tv
barmedas.tv ilibuni draw tuliyoiita jina la Offa Kabambe, madhumuni ya offa hii
ilikuwa ni kuleta urafiki kati yetu na wateja wetu kwa kuwapa offa wale watakao
lipa miezi 3 mfululizo malipo ya huduma zetu kila Mwezi ni shs 15,000/ inamaana
aliye lipa sh 45,000/= hatalipa huduma kwa miezi 3 mfululizo lakini atapata offa
ya vocha 1 yenye thamani ya shs 2,500/= na kusubiri zawadi ambazo
ziliandaliwa zenye jumla thamani ya Tsh 3,000,000/= Millioni Tatu Tuu.
Zikiwemo simu aina ya Samsung 6 zenye miundo na aina tofauti tofauti na pia
zinakuwa na warranty ya miaka 2. Inamaana ikiharibika ndani ya mda huo aidha
itatengenezwa ama anaweza kubadilishiwa nyingine bure inategemeana na
uharibifu wa simu yenyewe.
Pia zawadi ya 7 ni Tv Screen aina ya Samsung Smart Tv yenye upana wa inch
32" gharama yake ni Tshs 840,000/=
Zawadi hizi zilitolewa hadharani na wahusika walipatiwa taarifa hapo hapo na
mchezo ulicheza kwa uwazi zaidi.
Mbali na wateja wetu pia barmedas ilitoa mwanya kwa wale waliojipatia vocha
kwa kununua vocha kila moja yenye thamani ya Tshs 2,500/= aliweza kuingia
kwenye shindano hili.
Mkurugenzi wa barmedas Nd.Hirnoy Barmeda, aliwashukuru na
alitoa shukurani sana kwa wote walioingia kwenye shindano hili na watu 7 ambao
ni washindi na wamejipatia zawadi hizo mhimu aliwaongeza sana, na aliahidi
kuwa shindano linalokuja litakuwa nikubwa na lenye vitu vya thamani kubwa.
Shindano hili limechukua miezi 3 tangu lizinduliwe hadi leo tarehe 01/09/ 2014 na
kuchezeshwa na mgeni rasmi Mh: Bikhu Kotecha - ambaye pia ni Diwani wa
Kata ya Nyamagana.
Pia wageni wengine wote aliwashukuru sana.
Washindi endeleeni kuangalia vipindi mbali mbali vya barmedas.tv na
mtaendelea kupata taarifa mbali mbali pamoja na taarifa kama hizi za Offa
Kabambe !!
barmedas.tv "Sisi

Comments
Post a Comment