OFFA KABAMBE- barmedas.tv
MISS LAKE ZONE ASHIRIKI KUTOA ZAWADI YA OFFA KABAMBE.
Mshindi wa shindano la Miss Lake Zone lililofanyika tarehe 30/08/2014 katika uwanja wa CCM Kirumba
alikuwa miongoni mwa wageni waliopata nafasi ya kuchekecha droo na kutoa vocha moja ambayo ilimpatia mshindi wa shindano hilo la Offa Kabambe.
Ma Miss walifika Ofisi za barmedas zilizoko mtaa wa Bantu ilikuwa tarehe 29/08/2014 na kutembelea kwa kujionea baadhi ya kazi zifanywazo na kituo hiki, baada ya ziara hii waliahidi kwa mshindi atakae patikana atakuwa miongoni mwa wageni watakao fika na kushuhudia Droo hii na kweli alifika na mwenzake Miss Talent.
PICHA CHINI:
Umati wa watazamaji na watu waliokuwa wamekata vocha walikuwa wamefurika kujionea nani anaibuka kuwa mshindi na kujipatia zawadi hizo akabambe,
picha inayo fuata Mwl Sokoro akimkaribisha Miss Lake Zone
Pica zinazofuata Miss Lake Zone akieleza machache kuhusu ujio wake hapo lakini pia, kumshukuru Mungu kwa kujipatia ushundi wa nafasi ya kuwa Miss LAKE ZONE, kama leo washindi watakaopata bahati ya kushinda.. Pembeni Mgeni wa Heshima Diwani Bikhu Kotecha akiwa anamsikiliza Miss Lake Zone akitoa nasaha zake kwa wahudhuliaji.

Comments
Post a Comment