OFFA KABAMBE MSHINDI- barmedas.tv
Mshindi wa Offa Kabambe wapatikana leo rasmi tarehe 01/ 09/2014. Huyo ndio mshindi ambaye vocha yake ndio ilikuwa ya kwanza kusomwa , alijinyakulia zawadi ya Simu aina ya Samsung.
Baada ya Miss Lake Zone Kuchukua Vocha moja basi Mhesimiwa Diwani anaihakiki na baadae kuisoma hadharani kwa kumutaja jina namba na maeneo anayoishi kwakuwa vocha zilikuwa na MAWASILIANO KAMILI ALIYOKUWA AMEYAWEKA MUMILIKI WA VOCHA HIYO.

Comments
Post a Comment