Semina zikiendelea hapo katika Hall ya Jb Belmonte Hotel, jana ilikuwa Mada ya UTII WA SHERIA BILA SHURUTI.
Alfande Bundala Ntogwa- Msaidizi Mkaguzi wa Polisi, na kuzuia ukatili majumbani- Jinsia akitoa maelezo kuhusu Mada husika, wawezeshwaji wakiwa wametulia na kumsikiliza kwa makini sana.
Comments
Post a Comment