SCREEN AIR PORT MWANZA-barmedas.tv
Tv Screen zilizofungwa hapo uwanja wa Ndege Mwanza, huwafanya wasafiri kuona vipindi mbali mbali na mandhali ya Jiji la Mwanza.
barmedas wamefunga Tv Screen 16 ikiwa ziko ndani na inje katika jengo la uwanja wa Ndege, mhudumu wa barmedas anayehudumia hapo uwanjani , anasema kuwa wateja hufurahia sana huduma tuzitoazo kwani wakati wanasubiri kuondoka ama wageni waliofika wanasubiri ndugu zao, hupenda kuzidadizi Tv hizi na kufuatilia program zake na wakati mwingine hupenda kujua wanaomiliki screens hizi na huonyesha Big Up sana wanapopata maelezo aidha kutoka kwa mhusika mwakilishi wa barmedas aliyeko hapo ama wafanyakazi wahapo uwanjani kwani waliisha fahamu historia na matumizi ya Tv hizo hivyo huwaeleza kwa kina.
Tembelea uwanja wa Ndege uweze kujionea Screens hizo na kujionea vipindi mbali mbali kwani kila tv imewekewa Channel tofauti tofauti.
Picha chini zinaonyesha mbali na wasafiri wanajaribu kukamilisha taratibu za safari zao lakini wako makini kutupia jicho Tv hizo na wengine husimama kabisa na kuangalia kinachoonekana katika Tv hizo kama unavyojionea kwa machio yako.

Comments
Post a Comment