UCHAGUZI MKUU-barmedas.tv
Hatimae Baada ya kumpata Makamu wa Ask wa Dioces ya Mwanza sasa, kuanzia tarehe 4-5September 2014 kutakuwa na Uchaguzi wa Ask Mkuu wa Dioces na hatimae Ask wa AICT Tanzania, vikao vya Synodi ambavyo hutangulia kujadili mambo mbali mbali vimekwisha anza hulo Bwiru na siku ya kesho ndipo Kikao cha Uchaguzi kitahamia hapa katika Kanisa la AICT Makongoro ndipo na uchaguzi utafanyika hapo,
kanisa Mama ( Cathedral).
kanisa Mama ( Cathedral).





Comments
Post a Comment